Posted By Posted On

Kumbe ishu ya Shishi, Uchebe iko hivi buana

Ebwana eeeh! Huko mjini Instagram vita ya mwanamuziki Shilole na aliyekuwa mume wake, fundi gereji maarufu Uchebe inaendelea. Uchebe akiposti pisi yake mpya, Shishi Baby anamposti jamaa aliyerithi mikoba ya Uchebe, mpaka kieleweke.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *