Posted By Posted On

MIKEL OYARZABAL AFUNGA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA USWISI 1-0 MADRID


Mikel Oyarzabal (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao pekee dakika ya 14 ikiichapa Uswisi 1-0 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *