Posted By Posted On

MWAMBUSI BADO HAJARIDHISHWA UWEZO WA CARLINHOS YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesena licha ya kwamba mashabiki wengi wanaona kama winga wao Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ amekuwa bora, lakini yeye kwa upande wake anaona mchezaji huyo hajafika katika kiwango hicho.

“Carlinhos ni mchezaji mzuri, lakini bado anatakiwa apate mechi ‘fitinesi’, hapaswi kuwa mchezaji wa faulo na vitu vingine na akiwa fiti basi ndio tutajua,” alisema

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *