Posted By Posted On

Onyango kairudia KO ileile ya Kagere

HAKUNA watu wajuaji kama mashabiki wa soka nchini. Wengi wao hujifanya wanajua kila kitu. Wao ndio huwa nji wajuzi kuliko makocha wa timu zao. Ndio maana mara nyingi huwa wanawakosoa na hata kuwatupia maneno ya kejeli viwanjani. Utabisha nini wakati mara kadhaa wamekuwa wakiwatusi ama kuwazomea wakitaka wafanya mabadiliko ya wachezaji kama kwamba wao ndio makocha.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *