Stars, Burundi mambo yote kwa Mkapa
Baada ya zaidi ya mwaka mmoja kupita bila timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kucheza, kiu ya Watanzania na mashabiki wa soka nchini leo itamalizwa kupitia mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 10 jioni.,Read More
Comments (0)