Posted By Posted On

Stars yapasuka jioni

TAIFA Stars ikicheza kwa mara ya kwanza tangu janga la corona lililpoibuka Machi mwaka huu, jioni hii imepauka nyumbani baada ya kunyukwa bao 1-0 na Burundi kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa, huku ikishuhudia kiungo Jonas Mkude akitolewa kwa kandi nyekundu kipindi cha pili.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *