Posted By Posted On

ALIYEIFUNGIA BAO PEKEE BURUNDI IKIILAZA STARS 1-0 JANA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA YANGA SC LEO

Kiungo wa kimataifa wa Burundi, Said Ntibazonkiza akiwa ameshika jezi ya Yanga SC baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na vigogo hao wa Tanzania leo Jijini Dar es Salaam akitokea FK Kaisar Kyzylorda ya Kazakhstan.
Ntibazonkiza ndiye aliyeifungia Burundi bao pekee jana ikiilaza Tanzania 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *