Posted By Posted On

Bendtner atoa siri nzito

LONDON, England

NYOTA wa zamani wa Arsenal, Nicklas Bendtner, amekiri alimanusura kufilisika baada ya kutumia kiasi cha pauni laki 400,000 kwenye kamari.

Bendtner amesema tukio hilo limetokea mwaka 2011, wakati anakipiga Arsenal.

“Nakumbuka kipindi kile nilikua nimelewa sana, nilikaa kwenye meza nikiwa sijielewi, nakumbuka nilipoteza fedha kiasi cha 400,000 wakati huo akaunti yangu ya benki ikiwa haina kitu,” Bendtner.

Staa huyo alifahamu kuwa akaunti yake ilikua haina pesa hata hivyo alipuuzia.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *