Posted By Posted On

De Bruyne hana shaka kuhusu Lionel Messi

MANCHESTER, ENGLAND. MMESIKIA? Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne amesema klabu yake ina wachezaji wengi na wenye ubora ambao wanaweza kupigana na kuhakikisha inafanya vizuri hivyo kusajiliwa ama kutosajiliwa kwa Lionel Messi hakumpi wasi wasi wowote na hajali kabisa kuhusu jambo hilo.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *