Posted By Posted On

Havertz aivulia kofia EPL

LONDON, ENGLAND. KIUNGO wa Chelsea, Kai Havertz amesema Ligi Kuu England ni ngumu na inachokesha sana tofauti na ilivyo Bundesliga ambayo aina ya uchezaji wa timu zao ni za taratibu ukilianganisha na England ambazo zinahitaji mchezaji awe na nguvu na kasi sana.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *