Posted By Posted On

Huku ama kule, Pochettino njiani jijini Manchester

MANCHESTER,ENGLAND. MAMBO yameiva pale nchini England kwenye Jiji la Manchester, ambapo kila kona jina la kocha wa zamani wa Tottenham Hotspur limekuwa linatajwa kuja kuziba pengo moja kati ya mapengo mawili ambayo huenda yakaachwa na makocha wa sasa wa klabu hizo Ole Gunnar Solskjaer na Pep Guardiola ambao wana hatihati ya kubaki mwisho wa msimu huu.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *