Posted By Posted On

NADAL AMPIGA DJOKOVIC ‘KIROHO MBAYA’ NA KUTWAA GRAND SLAM YA 20

MSPANIOLA Rafael Nadal ametwaa taji la 20 la Grand Slam (mchezaji mmoja dhidi ya mmoja) katika Tenisi baada ya kumfunga Novak Djokovic seti 3-0 (6-0, 6-2 na 7-5) Uwanja wa Philippe Chatrier Jijini Paris, Ufaransa.
Ushindi huo wa 13 katika michezo 13 ya fainali ya French Open, unamfanya Nadal afikie rekodi ya Roger Federer ya kutwaa mataji mengi zaidi (20) ya Grand Slam PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *