Posted By Posted On

Sol Campbell amchana beki Van Dijk

LIVERPOOL, ENGLAND. BEKI wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell amesema beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk bado ana kiwango kikubwa lakini kinachomkwamisha ni kuridhika kwake kwa sababu hakuna mchezaji mwingine ambaye anaonekana kushindana naye katika eneo lake.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *