Posted By Posted On

Aguero kumpisha Messi Man City

MANCHESTER, ENGLAND. STRAIKA, Sergio Aguero huenda akaamua kuachana na Manchester City ili kufungua milango ya Lionel Messi kutua Etihad. Muargentina huyo amekosekana uwanjani kutokana na majeruhi na hakuna ubishi chama hilo la Pep Guardiola linamisi huduma yake. Kwa sasa yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake huku Inter Milan wakitazama namna ya kumnasa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *