Posted By Posted On

Aouar: Nina furaha kubaki Lyon

PARIS, Ufaransa

KIUNGO wa Lyon, Houssem Aouar, amesisitiza ana furaha kuichezea Lyon, baada ya uhamisho wake kukwama wa kujiunga na Arsenal.

“Ninajivunia kuiwakilisha klabu yangu, nina kila ya sababu ya kusema hivi, nina furaha kubaki hapa,” alisema Aouar.

Arsenal ilishindwana na Lyon katika masuala ya malipo, huku dili hilo likikwama zikiwa zimebaki siku mbili tu, dirisha la usajili la kiangazi kufungwa.

“Ni kweli nilitakiwa kufanya maamuzi, mwisho nikabaki Lyon, maamuzi ambayo yalikuwa sahihi kwa upande wangu,” aliongeza.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *