Posted By Posted On

Nadal atwaa French Open mara 13

PARIS, Ufaransa
STAA wa tenisi, Rafael Nadal, ametwaa taji la French Open, kwa mara ya 13 katika historia ya mchezo huo.

Nadal alimpiku mpinzani mwenzake, Novak Djokovic, katika fainali ya kibabe iliofanyika wikiendi iliyopita.

Mhispania huyo alimfunga Djokovic kwa seti  6-0 6-2 7-5, akimuacha mpinzani wake huyo.

Akizungumza baada ya ushindi huo, Nadal alisema: “Hii ina maana kubwa sana kwangu, sifikirii kuvunja rekodi za wapinzani wangu (Roger Federer), muhimu kwangu ni ubingwa huu,” alisema Nadal.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *