Posted By Posted On

Taifa Stars vs Burundi katika lugha nyepesi zaidi

TULICHEZA dhidi ya Burundi juzi jioni pale katika ‘uwanja mbovu’ wa Taifa jijini Dar es salaam. Warundi waliichapa Taifa Stars bao 1-0 katika dakika za jioni. Dakika ambazo miezi ya karibuni tumezowea kumuona mlinzi Lamine Moro akiifungia timu yake ya Yanga mabao ya ushindi. Kulikuwa na matukio kadhaa ambao yalipita katika jicho langu. Yafuatayo yanaweza kuwa matukio ambayo niliyatazama kwa jicho tofauti kidogo na nikayaweka katika hisia zangu.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *