Posted By Posted On

TFF wajificha na Morrison

LICHA ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuahidi kushughulikia malalamiko ya Yanga jana juu ya uhalali wa mkataba wa mchezaji Bernard Morrison na Simba, Yanga wenyewe wametamka kwamba; “Tumeachana na hilo shauri.”,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *