Posted By Posted On

TFF YAUNDA KAMATI MPYA YA USHINDI TAIFA STARS MWENYEKITI GHALIB WA GSM, MAKAMU WAKE SALIM ABDALLAH ‘TRY AGAIN”

MMILIKI wa Kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya timu ya taifa, ‘Taifa Stars’.
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo, imesema kwamba Rais Wallace Karia ameunda Kamati hiyo ambayo Makamu Mwenyekiti wake ni Salim Abdallah ‘Try Again’ na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa GSM.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *