Posted By Posted On

Wenger: Nasoma yanayonisaidia kuwaelewa binadamu

Arsene Wenger – Mfaransa msomi aliyebadilisha kabisa soka ya England mara nyingi amekuwa akijifikirisha atamwambia nini Mungu siku atakapofariki dunia. Kuna msisimko juu ya kujua maswali na majibu yatakuwaje huko kwenye lango la njiapanda ya Mbinguni na Motoni. Katika maulizo na majibizano hayo, Mungu anamuuliza Wenger kuonesha uhalali wa muda wake alivyoutumia duniani, jinsi alivyoipa zawadi ya…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *