Barca yamkosa Thiago kisa Klopp
LIVERPOOL, ENGLAND. HABARI ndio hiyo. Barcelona imeripotiwa kutaka kupindua meza dakika za mwisho kwenye usajili wa kiungo Thiago Alcantara, lakini wamekwama kwa sababu Jurgen Klopp alikuwa ameshamaliza kila kitu kumshawishi Mhispaniola huyo kutua Liverpool.,Read More
Comments (0)