Posted By Posted On

Ntibazonkiza meno nje Yanga

Dar es Salaam. Yanga juzi ilikamilisha usajili wa Said Ntibazonkiza, raia wa Burundi kwa mkataba wa miaka miwili ikiwa ni saa chache tangu alipoifunga timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Jumapili, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na Burundi kuibuka na ushindi wa bao 1-0.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *