Sancho? Bebeni hawa watu fasta
MANCHESTER, ENGLAND. GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes ameitaka klabu yake hiyo ya zamani kuachana na mpango wa kumsajili Jadon Sancho na badala yake iweke msisitizo kwenye usajili wa Harry Kane au Erling Haaland.,Read More
Comments (0)