Posted By Posted On

Shinikizo linalokataliwa

‘Project Big Picture’ Mpango unaosukwa na Manchester United na Liverpool katika kubadili mwelekeo wa soka ya England, ukienda kwa jina la ‘Project Big Picture’ unatarajiwa kuangukia pua. Habari za mradi huo zilivuja Jumapili hii na klabu 18 za Ligi Kuu ya England (EPL) hazikubaliani na mageuzi hayo, huku West Ham wakiwa klabu kubwa inayoupinga kwa nguvu zote. Tayari maofisa mbalimbali wa kwenye…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *