Posted By Posted On

Usajili Wa Kaze Watakata Yanga

Kocha Cedric Kaze ambaye anayetarajiwa kutua Yanga amewanyamazisha midomo wote waliokuwa wanauzungunzia vibaya usajili wa timu hiyo msimu huu. Walio wengi walikuwa wanalaumu uongozi wa timu hiyo kuwa walisajili kwa kufuata mihemko bila ya kumshirikisha kocha. Kwa kauli thabiti ya kocha mtarajiwa wa timu hiyo inawaondoa mchezoni waliokuwa wanaubeza uongozi. Kaze ameweka wazi kuwa katika sajili za…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *