Posted By Posted On

Amri Said hana presha Mbeya City

Dar es Salaam. Licha ya mashabiki wa Mbeya City kuzidi kupiga kelele kutaka kocha Amri Said ‘Stam’ ang’oke ndani ya kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya, lakini mwenyewe amesema hana presha kama uongozi utaridhia hilo ataachia ngazi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *