Posted By Posted On

Barcelona kumpeleka Dembele Man United ili kumpata Pogba

BARCELONA inaweza kumsajili kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, 27, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi katika kuboresha safu yao ya kiungo ambayo inaonesha kupwaya katika misimu kadhaa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *