Posted By Posted On

Kaze atua na yake

MCHANA wa jana Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Cedric Kaze alitarajiwa kuianza safari kutoka Canada kuja Tanzania kujiunga na timu hiyo, huku ikielezwa ametoa maelekezo kwa mabosi wa klabu hiyo kutaka wachezaji wakafichwe kambi ya Kigamboni wakijifua na kulala huko huko.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *