Posted By Posted On

Serikali yampa pole prodyuza S2kizzy

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas ametembelea studio za muziki za Pluto zinazomilikiwa na prodyuza S2kizzy ambazo usiku wa kuamkia Oktoba 16 zilivamiwa na kikundi cha watu walijitambulisha kama sungusungu na kufanya madhara ikiwemo kuwapiga wasanii waliokuwepo studio hapo na kuvunja vifaa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *