Posted By Posted On

Solskajaer anatoboa, hatoboi

MANCHESTER, ENGLAND. OLE Gunnar Solskjaer kijasho kinamtoka. Hakuna ubishi, ndiye kocha pekee wa klabu za Big Six mwenye presha kubwa kwenye Ligi Kuu England kwa sasa. Kocha huyo, kwenye mechi tatu za ligi ilizocheza klabu yake ya Manchester United, imeshinda moja tu kwa mbinde – tena dhidi ya Brighton huku ikiruhusu wavu wake kuguswa mara 11 kwenye mechi hizo.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *