Posted By Posted On

TAIFA STARS KUFUNGUA DIMBA NA ZAMBIA KWENYE FAINALI ZA CHAN NCHINI CAMEROON JANUARI 19

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania itafungua dimba na Zambia Januari 19, mwakani Uwanja wa Limbe mjini Buea katika Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee 
Taifa Stars iliyopangwa Kundi D katika fainali zake za pili za CHAN kushiriki baada ya zile za 2009 nchini Ivory Coas mechi ya pili itamenyana na Naminia Januari 23,mwakani hapo hapoBuea.
Taifa Stars iliyo chini ya kovha Mrundi, Etinne Ndayiragijje itakamilisha mechi za kundi lake kwa kumenyana na Guinea Januari 27, mwakani Uwanja wa Réunification Jijini Douala. 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *