Posted By Posted On

Jahazi la Mbeya City lazidi kuzama

JINAMIZI la matokeo mabaya limeendelea kuiandama Mbeya City katika Ligi Kuu msimu huu baada ya leo kulazimishwa sare tasa na Dodoma Jiji FC katika mechi iliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *