Posted By Posted On

KOCHA MPYA, KAZE CEDRIC ALIVYOSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUFUNDISHA YANGA SC LEO JANGWANI

Kocha Mrundi Cedric Kaze (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu ya Yanga leo makao makuu ya klabu, makutanoya Mitaa ya Twiga na Jangwani Jijini  Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla.

Kaze anachukua nafasi ya Mserbia, Zlatko Krmpotic aliyedumu kwa mwezi mmoja tu kabla ya kufukuzwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *