Posted By Posted On

MAPOKEZI YA KOCHA MPYA WA KLABU YA YANGA, MRUNDI KAZE CEDRIC JANA UWANJA WA NDEGE WA JNIA

 

Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu hiyo akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, Mrundi Cedric Kaze baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana 

Kocha mpya wa Yanga SC, Mrundi Cedric Kaze baada ya kuwasili JNIA, Dar es Salaam jana 

Mashabiki wa Yanga waliojitokeza kumlaki kocha mpya, Mrundi Cedric Kaze

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *