Posted By Posted On

Mbappe anukia Juventus

TURIN, ITALIA. UKARIBU kati ya Cristiano Ronaldo na Kylian Mbappe kuna kitu kinaendelea mjue, wakati Mbappe anamtaja Ronaldo kama mchezaji anayemkubali na kujifananisha naye, ripoti zinadai kwamba Juventus inataka kulipa Euro 400 milioni ili kuvunja mkataba wa staa huyo wa PSG katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *