Posted By Posted On

Metacha Ajitathimini Yanga

Moja ya magolikipa wazuri sasa hivi kwa timu ya Yanga ni Metacha Mnata ana ‘Clean Sheets’ nne za ligi lakini pia tumaini la timu ya taifa ya Tanzania. Ujio wa kocha Cedric Kaze kunaweza kubadilishia upepo wa kipa wa Yanga kama hatachukulia kwa umuhimu mkubwa. Udhaifu wa wa Metacha katika kuchezea miguu yake yaani ukirudisha mpira utegemee mpira wa ajabu kurudi. Kwa aina ya mchezo wa Kaze ni mpira…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *