Posted By Posted On

Mwakinyo aletewa zaidi ya Tinampay

Dar es Salaam. Bondia Hassan Mwakinyo atakuwa na kibarua cha kutetea ubingwa wake wa Dunia wa WBF na kuwania mkanda mwingine wa mabara wa IBA, dhidi ya Jose Carlos Paz raia wa Argentina, Novemba 13 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, Masaki, Dar es Salaam.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *