Posted By Posted On

Ratiba kilio kwa nyota wa TZ Prisons

Dar es Salaam. Wachezaji wa Prisons, Salum Kimenya na Benjamini Asukile wameitaka Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutumia busara kuzifiria timu ndogo kwani ratiba zinawachosha na kuwaumiza na kushindwa kuonyesha ubora wao uwanjani.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *