Posted By Posted On

Sven asuka mbinu mpya Msimbazi

UKIACHANA na mkakati wa mechi za kirafiki, Simba imejipanga na mechi dhidi ya Prisons, Oktoba 22 na benchi la ufundi linafanyia kazi mbinu tatu kali za kutumia katika mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *