Posted By Posted On

Wamekimbiza, wana wafuasi wengi hadi raha

MCHEZAJI Cristiano Ronaldo ndiye binadamu mwenye wafuasi (followers) wengi zaidi duniani kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa nao milioni 239, akifuatiwa na mwimbaji Selena Gomez mwenye watu milioni 194. Pia Ronaldo anaongoza upande wa Facebook akiwa na watu milioni 123, akifuatiwa na mwimbaji Shakira mwenye wafuasi milioni 99.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *