Posted By Posted On

Chelsea na Messi iko hivi

LONDON, ENGLAND. UMESIKIA hii? Chelsea imeripotiwa kwamba ishajiweka sawa na kukubali kumlipa supastaa Lionel Messi mshahara wa Pauni 1 milioni kwa wiki ili atue kwenye kikosi chao wakati ilipotenga ada ya Pauni 225 milioni kumsajili mwaka 2014.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *