Posted By Posted On

CHELSEA WACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO, SARE 3-3 NA SOUTHAMPTON


Jan Vestegaard akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei katika sare ya 3-3 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Southampton yamefungwa na Danny Ings dakika ya 43 na Che Adams dakika ya 57, wakati ya Chelsea yamefungwa na Timo Werner dakika ya 15 na 28 na Kai Havertz dakika ya 59
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *