Posted By Posted On

CHRIS MUGALU APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA MLANDEGE SC 3-1 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


Mshambuliaji Mkongo, Chris Mugalu akishangilia baada ya kuifungia Simba SC mabao mawili dakika ya nane na 68 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Mlandege SC kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Bao lingine la Simba SC limefungwa na Ame Ali dakika ya 16, wakati la Mlandege SC limefungwa na Yahya Haji dakika ya 72 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *