Posted By Posted On

Dortmund yafuta mpango kumuuza Sancho Januari

Borussia Dortmund hawana mpango wa kumuuza Winga Jadon Sancho (20), katika dirisha dogo la usajili wa majira ya baridi kwenda klabu yoyote licha ya kuhusishwa na mpango wa kutua katika Klabu ya Manchester United.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *