Posted By Posted On

Huyu Partey, ubingwa unakuja Arsenal

LONDON, ENGLAND. ALIYEKUWA mkuu wa kitengo cha kusaka vipaji wa klabu ya Arsenal, Francis Cagigao anaamini kuwasili kwa kiungo Thomas Partey kwenye klabu hiyo ya Emirates kutawafanya kuwa tofauti na kuanza kuwa siriazi kwenye kushindania mataji.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *