Posted By Posted On

IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YAICHAPA INTER 2-0


Mshambuliaji mkongwe, Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia AC Milan mabao mawili dakika ya 13 na 16 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Inter Milan ambayo bao lao limefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 29 leo Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *