Posted By Posted On

Keane anaposimama nyuma ya Maguire

WATU wagumu wanapita, nyakati ngumu hazipiti’ aliwahi kusema mwanafalsafa fulani hivi. Ni Kweli. Wamepita wengi. Huku katika soka wamepita wengi. Wengi sana. Mmojawapo alikuwa Roy Keane. Mgumu na jeuri mzaliwa wa Cork pale Ireland.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *