Klopp aihofia Everton ya Ancelotti
London, England. Jurgen Klopp amesema alishajua mapema kuwa Everton itakuja kuwa mshindani katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England na kwa Liverpool, wakati Carlo Ancelotti alipotangazwa kuwa kocha wa miamba hiyo ya Goodison Park.,Read More
Comments (0)