Posted By Posted On

Kwa hili la umri Simba wamepiga bao

MASHABIKI wa Simba na Yanga wamezoeleka kutupiana vijembe kuhusu umri wa wachezaji. Utasikia “jamaa wamesajili wazee, ooh!! Ile ni timu ya wazee, sasa yule si anacheza na wajukuu zake kabisa.” Hayo ni maneno ya kawaida kwa watani hao wa jadi na hakuna upande ambao unaweza kukubali kushindwa kirahisi vita hiyo ya maneno. Hata hivi karibuni baada ya Yanga kumtangaza winga Said ‘Saido’ Ntibazonkiza kujiunga nao kwa mkataba wa miaka mwili, fasta mitandaoni kulichafuka kwa kejeli kwamba Jangwani wamesajili veterani.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *