Posted By Posted On

Mabao ya Dube, yamshtua Kagere

PRINCE Dube juzi usiku alifunga bao lake la sita msimu huu katika Ligi Kuu Bara, akiwa na wastani wa bao moja kila mechi, jambo ambalo limemfanya Mfungaji Bora kwa misimu miwili iliyopita, Meddie Kagere kushindwa kujizuia na kumzungumzia straika huyo wa Azam FC.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *